Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Waumini wa dini ya Kiislamu kote duniani baada ya kufunga siku nzima, wengi wao wakati wa jioni wanapofungua wao hula tende. Katika mwezi wa Ramadhan, ambapo ni siku 30 za kufunga na kuomba, waislamu ...
Kifo hakikumpa maisha mapya Patrick Charnley lakini kilibadilisha kabisa mtazamo wake kuhusu maisha. Patrick ni mwanasheria wa masuala ya biashara aliyefanikiwa sana, ambaye zamani aliamini kuwa muda ...